STAREHE BORA NA RAHA NZURI YA MAISHA NI WOKOVU
Habarii...za leo mpendwa...
Hukumu...ya Mungu yaja.....
Lakini...Neema ya Mungu ipo sasa...
hivyo...
ni aibu...sana..kama..utafurahia..maisha ya hapa..ulimwenguni...alafu..ukakosa...raha...za milele...mimi...kama mkubwa mwenzako..leo..naleta...neno...kwako..la kukusaidia..upate..raha kwanza..hapa duniani..na pia..siku ukifika..mbinguni....kwa Mungu.
Wafilipi 4:8
*Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo.Finally, brethren, whatsoever things are true, whatsoever things are honest, whatsoever things are just, whatsoever things are pure, whatsoever things are lovely, whatsoever things are of good report; if there be any virtue, and if there be any praise, think on these things.*
Ndugu...Mungu anakupenda..sana...hivyo..jinsi ulivyo...anatamani..sana..akusaidie..na kukufanikisha..katika maisha yako...Je!ukotayari kumsikiliza Bwana na kumtegemea..Bwana ili aweze kukuokoa..na kila taabu..na kukupa..raha ya milele...?
Je! ukotayari...kuokoka..leo....na kutengwa na maisha...manyonge..na yasiyo faa kitu...yanayo kutesa..sasa...?
Jambo ambalo..nataka utafakali..siku ya leo....na usiku huu..wa leo...ndugu..yangu..ni hili....
Je! hatima ya maisha yako..iko wapi...?na tegemeo lako la maisha na tumaini...lako la maisha ni nini?
Dunia..ina mengi..mazuri..na matamu..tu machoni..lakini..yanaumiza..sana..na yanagharimu sana..maisha ya watu wengi....na kiasi ambacho dhambi..na changamoto zinaondao..kabisa radha ya maisha ya watu..ya kila siku...
Mimi...nakuhakikishia..kuwa kama hii leo utakubari..kunisikiliza..na kutafakari..pamoja..nami..jambo hili..juu ya thamani..yako...mpendwa...hauta baki..kama ulivyo kuwa...utauona...uthamani..wa maisha yako..tena...
Injili yangu na habari njema..nilizo nazo leo..ni hizi...okoka..na mkubari Yesu Kristo,na jikabidhi kwake..ili upate..maisha mapya..na upate..kuwa mwana wa Mungu,apendwaye..na Mungu..ili Mungu aweze kukuhudumia katika viwango vyo juu..sana..kwa kila uhitaji ulio nao....
ninapo..sema..kuokoka..nina maana..hii..
Jitambue..kuwa..wewe..ni mwenye..dhambi...na kama wewe..ni mwenye dhambi...basi tambua pia..kuwa unahitaji mahusiano mazuri..na Mungu...ili upate kufikia..na kuishi maisha mazuri..na upate kujiepusha na hukumu..ya kiama....ya mwisho na jehanamu..ya moto wa Mungu....
Na suruhisho la dhambi.zako..na kitakacho kupatanisha..wewe..na Mungu wako..ni Yesu Kristo...ukimwamini...tu Yesu Kristo na kujifunza...ninsi alivyo...fundisha..namna..ya kuishi...na kuweka tumaini..lako..kwake..utakuwa na uzima..wa milele...dhambi..na maisha mabaya..hayata..kushinda...tena..wala havita kuwa sehemu ya maisha yako..tena..yeye atakusamehe..kukusafisha..mbele za Mungu..na kukufanya...upya..na kukuimarisha..kwa Nguvu zake...na Mamlaka..yake...maisha yako..yote...
Na usipo...mwamini..Yesu Kristo hauna...nguvu na uwezo wa kujiepusha na hukumu ya dhambi...wewe mwenyewe..na ndiyo maana..Kristo aliletwa na Mungu ili apate kukuokoa.....
na kuokoka..siyo..tu kwa ajili..ya watu..wa kanisani..na pia siyo kwaajili ya wakristo..tu..na Injili yangu hii..siyo ya kukubadirishia dhehebu..au dini...bali...ni kwaajiki ya kila mtu...na ni kwaajili ya watu wa dini..zote...ni siku za mwisho hizi..ndugu...wahi..sasa..na saa ya kuokoka..ni hii...na saa ya kuponya..maisha yako..ni hii....
Usijali..kuhusu tabia yako ilivyo..wala usiwaze..itakuwaje..sasa..maana..wewe haujui..namna..ya kuishi..katika maisha ya kimungu....nipo kwa ajili ya kukufundisha..na kukuelekeza..lakini..nakuahidi..na kukuhakikishia..kama utaamua..kujikabidhi kwa Mungu leo..nitaomba..pamoja..nawe..na Mungu mwenyewe..atakupa uwezo na atakufundisha kila kitu..na atakusaidia...kabisa...
Bwana Mungu anasema...katika biblia..
kwa ajili..ya wewe mwenye dhambi...Yesu Kristo alikuja..na akatolewa...na Yesu Kristo ndiye..mtetezi wetu..sisis...wenye dhambi..hata kama dunia..inatutenga..na makanisa...wanatutenga..lakini..Yesu Kristo ndiye..pekee..anaye..tutetea mbele za Mungu na mdiye pekee anaye weza tupatanisha..na Mungu muumba wa Mbingu na nchi...
uamuzi..nii wako..tu leo..kuamua kumpenda Yesu Kristo na kumpokea..awe Bwana na mwokozi wa maisha yako...
neno la Mungu linasema katika..Yohana 3:16 *Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.*
Na Warumi 10:9 neno la Mungu linasema:9 *Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.That if thou shalt confess with thy mouth the Lord Jesus, and shalt believe in thine heart that God hath raised him from the dead, thou shalt be saved.*
Pia mathayo 1:21 *Naye atazaa mwana,nawe utamwita jina lake Yesu,maana yeye ndiye atakaye waokoa watu wake na dhambi zao*
Kama umeamini..neno hili..na umependezwa..na mafundisho haya..na unatamaini..sana...kuokoka..na kumpokea Yesu Kristo awe..Bwana na Mkombozi..wa maisha yako..tafadhali..wasiliana..nami...
Nakama umekwishaokoka siku nyingi na unatamani..kujifunza neno zaidi..pia wasikiana..nami...na zaidi..sote tushirikiane..kusambaza..ujumbe huu..uwafikie..watu wengi zaidi..naitwa
Elisha Ndumizi 0654501879.
Comments
Post a Comment