UMUHIMU WA IBADA
IBADA...IBADA...IBADA...
~Ibada..huleta majibu..ya maswali...yetu yote...
~Ibada huleta...muunganiko wa nguvu..kiungu...na Mungu..na hatimaye..kutupa..kuganikiwa...
~Ibada..huleta..amani..na furaha..na matumaini...mapya...tena..
~Ibada...huleta...kila..miujiza..tunayo ihitaji..katika maisha..
~Ibada...huleta..maisha..na huamua..maisha..yate yaweje...
Katika maisha ya mwanadamu..jambo moja..tu lenye maana..na lenye umuhimu..sana..kuliko.yote..ni IBADA...
Bora ukosee sehemu zingine zote..lakini..usikosee wenye..IBADA....
Kosea..mambo yote..lakini...usikubali..kukosea...IBADA
Ngoja..niseme..kwa hivi...ili tuelewane...biblia..inasema..hivi...
1timotheo 2:1-3 *Basi kabla ya mambo yote nataka dua na sala na maombezi na shukurani zifanyike kwa ajili ya watu wote...kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka tuishi maisha ya utulivu na amani..katika utauwa(uungu) wote na ustahivu...Hili ni zuri nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu.*
PIA
Wafipi 4:4-7 *Furahini katika Bwana..sikuzote;tena nasema,furahini.Upole wenu na ujulikane na watu wote...Bwana yu karibu...Msijisumbue kwa neno lolote;bali katika kila neno kwa kusali na kuomba,pamoja na kushukuru,haja zenu n zijulikane na Mungu...Na amani ya Mungu,ipitayo akili zote,itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.*
Biblia..inasema...kabla..hatuaanza kufanya kazi yoyote au jambo lolote..lile..yatupasa..kufanya sala...kwanza...(kuachilia..na kuruhusu..au kutuma Nguvu ya Mungu..itawale..na kutangulia..na kuleta muunganiko..connection..) na hapa paulo..anajalibu kutupa...maeneo maalumu...ambayo..ni yamsingi..sana..kuyakumbuka..katika.sala..dua..na Maombi yetu...(KATIKA IBADA)
Lakini..pia..hapa paulo...anaongelee..habari..za kufurahia...anasema..kwa wafilipi..anawambia..furahieni..basi...na.tena..kwa msisitizo kabisa..anasema..furahieni..kwa kila...jambosikuzote...isiwe tu kuwa mnapo kuwa kanisani..ndo..mfurahie..lakini..mi nataka..siku zote..na nasema..furahieni...
Na anasema...siri hii..ya Furaha..kila.siku na kufurahia..kila..siku...inakuja..kwa kufanya IBADA...
Labda..nikupe..mfano...huu ndo utanielewa...
Kama ulisha wahi sikia..au waona...wachawi..au waganga...wa kienyeji...wale..jamaa..ukiyachunguza maisha yao...huwa hawajusumbui..kuhangaika..na mtu..yeye..akitaka..kitu au mtu akimuuzi...huwa wanatumia..tu IBADA ZAO...KUHAKIKISHA WANAKOMESHA MTU...HATA WAKITAKA..KUKUUA..WANAKUUA TU...kama unafikiri natania...fuatilia..utaona....yeye akiona hazai..anaroga usizae...akijisikia...wivu..unakatoto kazuri...anakaloga kanakufa....sikia..mtu wa Mungu..itakusaidia..sana..hii..
Hata wewe unaoo kuwa umeokoka..na umeamua kumwabudu Mungu Mkuu..na kuniu.ganisha..na nguvu..isiyo na mwisho wala..isiyo na mipaka..na nguvu..iletayo amani..maendeleo na utulivu..na mafanikio ya uhakika...wa uzima...wa milele...na msamaha wa dhambi...
Yesu Kristo...anapo kuwa amekuwa kiongozi wa maisha yako...ndugu....yakupasa..kufurahia...tena..kufurahia..kila...siku..siku zote..kuishi..kwa furaha....
Hii inawezekana..kabisa...na ni ahadi ya kweli...
Sikia..chakufanya..na chakujifunza...ni kujua..ni kwa namna gani..hiyo furaha..unaipata...
Na siri ya Furaha..na kuwa na furaha..kila..siku..ni IBADA....
HAPA SIONGEREI ILE FURAHA...YA KULAZIMISHA....AU FURAHA...YA MATUMAINI...hapa..naongelea..furaha..halisi...na ya kweli...
Usijalibu..kupambana...na hali..za maisha..na hali..za watu...au fujo za watu..zinazo inuka....biblia..inasema...kuwa mpole..kwa watu wote..hata.kiasi cha...watu...wote..waujue..upole..wako...lakin...UWE MTU WA KUSALI..NA KUOMBA....NA HAJA..ZA MOYO WAKO..ZIJULIKANE...KWA MUNGU..WAKO...na urashangaa..tu ile..amani..ya Mungu...ambayo...imepita...na inapita..fahamu...zote na akili...zote..itakuhifadhi moyo wako..na nia yako..katika maisha yako NDANI YA YESU KRISTO.....
Sikiliza...mtaani...kwetu miakaa.ya nyuma..kidogo..nilikuwa nafanya biashara...sasa pale..mtaani kulikuwa na huyo mzee...yeye alikuwa nakitu kinaitwa chuma..ulete..na kwa bahati..nzuri..au..mbaya..akajikuta..amekuwa..rafiki..yangu..mkubwa..sana...na akawa..hanifanyii..vutuko..mimi..kwenye mizunguko yangu...ya biashara..ila..kwa wenzangu nilokuwa nakaa nao..walikuwa wanalalamika..kila kukicha...
Yeye..alikuwa..ananunua..kitu chako...na kwa bei..yoyote utamwambia...ila..ukisha pokea hela yake..na ukachanganya na zingine..mnagawana..faida..ya biashara yako...
Vijana..mtaani walimchukia..sana..wakawa.hadi.wanamtukana...na..hawampemdi...lakini...hiyo.haikusaidii..sana...mzee alicheza..mchezo..wa imani..tu....japokuwa..imani..yake..ilikuwa na madhara kwake..maana..naye..hiyo nguvu..ilikuwa inambana..kwenye maisha..yake...
Kwenye..somo hili..mimi...nachotka..ukijue..na ukifahamu...nataka..IFIKE SEHEMU..UJITADHIMINI..NA KUANGALIA..JE IBADA ZAKO..ZINAKUPA FAIDA....JE!ZINAKUPA MATIKEO SAWASAWA NA VILE UNATARAJIA...NA KAMA HUPATI..TATIZO NI NINI...AU LIKO WAPI...??!!!
MAANA...UKIJUA UMUHIMU WA IBADA...NA JINSI IBADA..ZINAVYO BADILISHA..MAISHA...YA WATU..HUTAJISUMBUA..SANA..KUHANGAIKA...KWA NGUVU ZAKO..MWONYEWE...MAANA HUWEZI...KUFIKA POPOTE..KWA KUJITEGEMEA..WEWE..PEKE YAKO..PIA..HUWEZI FIKA POPOTE..KAMA UTAJIKUTA UNAANGUKIA..MIKONONO..MWA NGUVU..NA IBADA ZA KISHETANI..NA KICHAWI NA MIZIMU...MAANA HAZISAIDII..BALI ZINATUMIA..TATIZO KULETA..NA KUONGEZA TATIZO..LINGINE....
NA UKISHA GUNDUA..KUWA KUNA..MUNGU MKUU...AMBAYE..YEYE YUPO JUU YA VYOTE..NA KWAKE..YEYE..KILA KITU KINAPATIKA..NA NGUVU ZAKE..ZINATOA SURUHISHO NA MAJIBU MAZURI YA SHIDA NA MAISHA YA WATU....LAZIMA TU...UTAMTAFUTA..KWA HALI..NA MALI...NA KWA BIDII..SANA...
Unaweza..jitetea..sana..kwa kusema..mbona..mimi toka..utoto wangu...naenda kanisani..lakini..sijaona...majibu..ya ibada..na nguvu..ya ibada..za huko kanisani..kwa huyu..Yesu...!?
Au unaweza..weza..sema..mbona..hata..mchungaji..tu wetu mwenyewe..anashida..kibao tu..zinamnzunguka..na kila.siku anamhubiri..Yesu Kristo....
Hivyo..hichi unachosema...ni unataka..tu kutufariji..na kututia...moyo....maana..hakuna nguvu ya hivyo..Kwa Yesu Kristo ni kusamehewa dhambi...na kusubiria..uzima wa milele....taabu .ba shida za dunia..ziko palepale....
Sawa...mi sikubishii...ila..tu nataka..nikupe..huu ufahamu...utakusaidia...
Ni ukweli..usio pingika...watu wengi...leo..hii..hata ambao tumeokoa...nikiwa na maana..tumekabidhi..maisha..yetu kwa Mungu..mkuu..bado...hatumpi..Mungu...heshima..na utii..na unyenyekevu..anao stahiri...kwa lugha..nyepesi..hatujui kufanya..IBADA-KWA MUNGU WETU....na inafika sehemu..hata tunadhubutu kuziona ibada za miungu..ni bora..sana..na ni za umuhimu...kwetu..kuliko IBADA..KWA MUNGU WETU,BWANA-Muumba wa mbingu na nchi...aliye funuliwa na kujifunua..kwetu..kwa njia..ya Yesu Kristo...
Huo..uongo...siyo kweli..tunamheshimu...kweli mbona....!!!!?
Kama kweli..tunamheshimu na kumwamini...mbano..sasa tunaamini..kuwa hana uwezo wa kutusaidia...na kwama..tunaamini..anao uwezo wa kutusaidia..mbona sasa..hatuheshimu..IBADA...na taratibu..alizoweka..ili kutusaidia....??
Sina..maana kuwa hatumjui..Mungu..wala..sina..maana kuwa haumwamini..Mungu..na.wala...usijihukumu...kwa kuwa kuna vitu..havijatokea..kwako..japo kuwa unaamini....toka..siku...nyingi....ila..mi nanachotaka kusema..na kusisitiza..hapa..ni kuwa IMANI..YAKO..NA MAPENZI..YAKO....YAZIDI KUIMALIKA..KWA HUYU MUNGU....NI MUNGU WAKO...NI BABA YAKO..MAANA ALIKUUMBA..NI MWENYE UWEZO..NA UWEZA...HAJAWAHI SHINDWA WALA HASHINDI NA JAMBO LOLOTE...ENDELEA KUMPA HESHIMA YAKE INAYO MSITAHILI...NA ENDELEA..KUNYENYEKEA..KWAKE...ISIFIKE..MAHALI TUKAMPA SHETANI HESHIMA YA BABA YETU...NDUGU KATAA KWANZIA LEO..KUMPA HESHIMA YA JUU KABISA MTU ASIYE KUWA BABA YAKO..AU KWA KITU KISICHO KUWA..NA NGUVU WALA MSAADA KAMA ULE ALIO NAO BABA YAKO WA MBINGUNI....
Nikuulize..hii leo..kama ikitokea..ofa..na nafasi..kama aliyo pewa Yesu Kristo...nafasi ambayo Shetani alimpa..Yesu Kristo...siku ile..Yesu Kristo..anajalibiwa...na katikati ya shida..na maisha hayo uliyo nayo..ungefanyaje....!!??? Au Utafanyaje....???
Yesu Kristo alikuwa hajala..siku arobaini...Yesu Kristo alikuwa anajua fika kabisa..baba yake..na mama yake..Mzee Yusufu na Mariamu niasikini..na walikuwa ni mafundi selemara..tu wachonga mbao....
Lakini...nakwambia...Shetani..akampa kila.aina ya ofa...akamwambia..sikia..sasa Bwana mdogo...ukipiga magoti..tu ukainama..mbele yangu...ukanisijudu...na kuniabudu...hakika..nakupa..mali na utajili..wote...wa Dunia..nzima...hii..maana..ni vyangu...namimi humpa kila mtu ninaye penda kumpa....(mathayo 4:8-12 *Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno,akamwonyesha milki zote ha ulimwengu,na fahari yake,akamwambia, Haya yote nitakupa,ukianguka kunisujudia..Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani;kwa maana imeandikwa,Msujudie Bwana Mungu wako,Umwabudu yeye peke yake..Kisha Ibilisi akamwacha;na tazama wakaja malaika wakamtumikia...* )
Similizi..hii itakupa mtazamo mpya juu ya hu ushindi wa Yesu Kristo....katika kila jaribu..alilo jalibiwa Yesu Kristo alijitahidi sana..kuilinda heshima..ya Mungu wake...alijitahidi sana...kujilinda asije akaingia...katika muunganiko na nguvu za Ibilisi...ili kuleta..suruhisho la shida na uhitaji alio kuwa nao...
Pamoja..na kwamba..ni kweli alikuwa na njaa..lakini alikataa..kumsikiliza shetani..na kutumia..nguvu ya kuungu iliyo kuwepo ndani yake....pamoja..na kwamba...alitoka katika familia masikini..alikataa..kupata utajili...utokao..kwa Ibilisi..ili.tu kulinda IBADA-yake kwa MUNGU WAKE....KULINDA HESHIMA...YA MUUMBA...KULINDA HESHIMA..YA MUNGU...NA UTIIFU NA UNYENYEKEVU...KWA MUNGU...na chaajabu...baada ya kujitahidi kulinda sana...utii na unyenyekevu..na kwa mapenzi ya dhati kwa hali..ya juu..sana..Biblia..inasema..wakaja..malaika..kutoka..kwa Mungu wake...Mungu ambae Yesu Kristo amekuwa akilinda heshima...na kukataa..kumpa heshima hiyo au kuionesha heshima hiyo kwa shetani...na kukataa muunganiko..wa makubaliano..katika mazungumzo na maamuzi..kutoka kwa Shetani..ulimfanya..Mungu wa mbinguni..kushusha malaika..palepale..ili kumhudumia...Yesu Kristo katika uhitaji...alio kuwanoa...
Nataka tu nikwambie hivi, Nikweli..yawezekana...hata wewe upo..katika..shida...sawa..unaumwa...sawa...uchumi umeyumba..sana...hauzai...sawa..ndoa..imeyumba...sawa...kanisani..mchungaji...hakukumbuki..sawa..hata kwenye grouop za whatsapp..mtandaoni..hawakuheshemu..na hupati nawewe nafasi..ya kujueleza..sawa..hatukusaidii..kwenye shida uliyo..nayo sawa..hatukatai..yote..hayo yamekupata....hatukatai..kabisa...hata kuhusu huo umasikini..sawa unao..hatukatai...
LAKINI...SWALI..MOJA..TU NITAKUULIZA...JE! UNAMHESHIMU..NANI...LEO...? JE! UNAMPA IBADA NZURI NANI LEO...?....JE! UNAMPENDA NANI..LEO NA KUMWABUDU KWA MOYO WA DHATI....?...AMBAYE MOYONI MWAKO..UMEMPA NAFASI YA JUU KABISA NA YAKWANZA KUTATUA CHANGAMOTO ZAKO..NA SHIDA ZAKO....??!!!
~Mi sjui...yawezekani...IBADA yako..ni kwa Biashara yako...
~Yawezekana ulevi..uvutaji..sigara na bange, nk au ni mambo ya zinaa ndo IBADA kwako...
~Yawezekna..binadamu wenzako..waganga na mizimu ya ukoo..ndo unaipa IBADA ya kweli...leo..
SIKILIZA..HAIJALISHI...HICHO UNACHOKIHESHIMU..NA KUKIPA..MAPENZI YA DHATI MOYONI..MWAKO..UNAKIONA NI KIZURI KIASI GANI...LAKINI...
UZURI NA MSAADA NA RAHA...NA NGUVU ITIKANAYO NA HICHO AU HIVYO..VITU..HAIMFIKII..BWANA..MUNGU KWA NJIA YA YESU KRISTO....NJOO KWA YESU KRISTO..MPE IBADA..YESU KRISTO...HAKIKA...ATAKUPA MALAIKA..NAO WATAKUHUDUMIA..KATIKA UHITAJI..ULIO NAO...
Sikiliza..ulikuwa umepoteza..womovu...au umerudi nyuma katika wokovu...au majaribu nimengi sana...katika wokovu wako...au..unapitia wakati mgumu kiasi gani....sikia..ndugu...yupo Mungu,nasema..yupo Mungu wako...wa kweli...yupo BABA...yako wa kweli..ambaye mbingu..na nchi...na wachawi na vyote...vinainama mbele...zake...ambaye..huyo peke yake..ndiya aliye na suruhisho..na hatima..ya maisha yako...huyo peke..yake...ndiye...SABATO...NDIYE BWANA..WA SABATO...NDIYE YATUPASA..KUMPA IBADA YA KWELI...KUMPA HESHIMA...YA HALI YA JUU SANA..NA KUMPENDA KWA DHATI....HIYO...NDIYE AJUAE...UDHAIFU WETU..NA UHITAJI..WETU...HUYO NDIYE PEKEE..AWEZAYE KUTUPA..NA KUTUFANYA...KUTAWA WATU WA KUPIGANA..VITA VYA IMANI...TU NA SIYO KATIKA..MWILI...
MPOKEE YESU KRISTO...LEO..MWAMINI YESU KRISTO LEO...HAIJALISHI..WEWE NI MWISLAMU..AU DINI GANI...ILA..AMUA..KWANZIA LEO..KUMPA DUA ZAKO..NA SALA ZAKO...NA IBADA..ZAKO..NA KUOIGA GOTI KWA YESU KRISTO...NA KATAA KUPIGA GOTI..AU KUOIGISHWA GOTI..NA KITU KUWACHO CHOTE..AU NGUVU IWAYO YOTE....BALI..KWA YESU KRISTO TU....
YESU KRISTO ATAKUSHUSHIA MALAIKA WAPATE KUKUHUDUMIA......
Natamani sana niendelee kusema..na kusema...lakini...IBADA SAHIHI..NA IBADA ZENYE MATUNDA..NA IBADA...NZURI...NI KWA YESU KRISTO TU....SIYO KATIKA SIKU...SIYO KATIKA KANISA..SIYO KATIKA MSIKITI MZURI....IBADA..NA HESHIMA YA IBADA...NI KWAKE YESU KRISTO..HUYO..NDIYE ANAYE STAHIRI.....KUPEWAHESHIMA....utiifu..na unyenyekevu..kuinamiwa..na waabudiwa..na kusujudiwa...
Kama umeamua..kufuata..na kuweka imani yako kwa Yesu Kristo...au unataka..kurudi upya..na unapenda..nipate..kuomba..pamoja..nawewe..na kukusaidia..kujua..namna ya kumpokea..na kujikabidhi..kwake Yesu Kristo..(Huduma hii ni Bure kabisa)..tafadhali...nitafute..kwa namba..hii...
Naitwa Elisha Ndumizi~654501879...
Au...popote..ulipo..waweza..piga..magoti..na AU ukanyosha..mkono wako..juu..kama ishara tu..ya kunyenekea...mbele za Mungu..kisha..ufuatishe..maneno ya sala..hii..
SEMA *Ee BWANA YESU, Mimi....... (taja jina lako) ni mwenye Dhambi,ni mhitaji na nilipotea..Nimesikia habari zako Ee BWANA,
naja kwako Ee BWANA YESU, NAOMBA UNIPOKEE,UNITAKASE,NA UYAFUTE MAKOSA YANGU KWA DAMU YAKO..NA TANGU LEO EE BWANA MUNGU WANGU, NAJIKABIDHI KWAKO,KWA DAMU YA YESU KRISTO TANGU LEO NIHESABIWE KUWA MIMI NI MWANA WAKO WA AGANO JIPYA. MUNGU WANGU NIMEMWAMINI YESU KRISTO LEO ILI NISIPOTEE BALI NIWE NA UZIMA WA MILELE TANGU LEO,NITAKUHESHIMU, NA KUKUPENDA, NA KUKUABUBU WEWE PEKE YAKO SIKU ZANGU ZOTE, Ee BWANA WANGU,NISAIDIE NA UWE NAMI MILELE..
Amin
Nami kama kuhani..na mpatanishi pamoja..na Yesu Kristo...
Kwako wewe ambaye umeifanya sara hii kuwa ni yakwako..na moyoni mwako umekusudia na kuamua kumpokea Yesu Kristo awe mwokozi wa Maisha yako...
Nakuombea...
Mungu na akupokee..tangu leo...Dahmbi zako..zote..na uovu wako wote usiwe juu yako tena..na Roho Mtakatifu akutie mhuri...kwa jina la Yesu Kristo.na tangu leo Mbingu na Nchi..na kila kiumbe..chini ya jua..na Baharini..na hata mbinguni..vikutambue ya kuwe wewe ni Mwana wa Agano wa Mungu aliiye hai...kwa Jina laaYess Kristo..
Baraka za Mungu BABA...ZIWE NAWE SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO. AMIN NA AMIN
Mungu awabariki sana..wapendwa wote...endelea kufuatiria...mafundisho..haya...toka mwanzo...maana..ni chakula..cha uzima wa roho yako..

Ushuhuda Wangu wa Kutoka Moyoni 💖
ReplyDeleteBaada ya baba yangu mdogo kuniacha kwa miezi saba mirefu, nilikuwa nimevunjika moyo kabisa. Alinizuia kwenye mitandao yote ya kijamii, akaondoka, na hakukuwa na njia ya kumfikia. Karibu nikate tamaa, lakini ndani kabisa nilijua singeweza kupata mtu yeyote ambaye angenipenda na kunitendea jinsi alivyonitendea.
Siku moja, bosi wangu kazini aligundua jinsi nilivyokuwa na huzuni na akanitambulisha kwa Dkt. Dawn. Dkt. Dawn alisikiliza hadithi yangu na akaahidi kwamba mpenzi wangu angerudi kwangu ndani ya siku tatu. Kwa kweli, sikuamini mwanzoni—lakini kwa mshangao wangu mkubwa, siku ya tatu simu yangu iliita. Ilikuwa yeye! Alikuwa akilia na kuomba msamaha, akisema hataniacha tena.
Tangu siku hiyo, uhusiano wetu umekuwa na nguvu na uzuri zaidi kuliko hapo awali. Amekuwa akipenda na kunijali mimi na mtoto wetu, na sasa tunafunga ndoa katika miezi miwili tu! ❤️
Shukrani zote kwa Dkt. Dawn, ambaye kwa kweli alifanya jambo lisilowezekana liwezekane. Ninampendekeza kwa moyo wote kwa yeyote anayekabiliwa na changamoto katika:
Masuala ya uhusiano au ndoa
Ugonjwa au magonjwa
Matatizo ya utasa au bahati nasibu
Kesi za mahakamani au urejeshaji wa mali
Dkt. Dawn kweli hutatua matatizo kwa ufanisi na hurudisha furaha katika maisha ya watu.
Wasiliana na Dr. Dawn kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com