JE! UMEIONA NEEMA YA MUNGU NA UPENDO WA MUNGU KATIKA NYAKATI ZA LEO ?

 BWANA Yesu Kristo asifiwe..sana ndugu na rafiki yangu katika KRISTO..

       Natamani sana..tuweze kwenda pamoja...kujifunza anagalau kwa sehemu..habari za NEEMA NA UPENDO WA MUNGU...KWA WATU..WAKE...
Mara nyingi..sana..tumejifunza juu ya hukumu..tu za Mungu..na hasira ya Mungu..na adhabu...mbalimbali...ambazo zimeandikwa...katika Biblia pia 

Kuna wakati...hasa kwa watu ambao..wanatamani..kuokoka..lakini..wakijitathimini..na kujiangalia...wanatabia..au mazoea...mabaya..sana...na..wanadai kwamba hadi waache hizo tabia..ndipo wataokoka...Je! Ni wewe...? Au je! Unarafiki yako ambaye...anawaza na anamawazo ya hivyo...?
Leo natamani sana..tujifunze...uzuri wa Mu.gu..na jinsi neema..ya Mungu..ilivyo kwetu...
Kuna...kauri kadhaa hivi..mimi zilinifanya..nianze kutafuta..kujua sana..juu ya Neema..na Upendo wa Mungu...
 Niliwahi kuchekwa..sana..na kuambiwa...wewe utaokokaje..na wakati wewe ni kijana...!!?
Na nikapewa ushauri kuwa..ni heri kusubiria..kwanza nikioa..ndipo niokoke...au nikiwa mkubwa kuelekea uzee baada ya kufanya starehe..au kuvuka umuri wa barehe..ndipo sasa itakuwa rahisi..mimi kuokoka
Je! Ni sahihi..madai haya...ya kuwa huwezi kuokoka..ukiwa kijana....?? Na sababu..kubwa..au zuio kibwa eti ni kwamba tusimchezee Mungu au kumtania Mungu na kumjaribu Mungu kwa kuokoka tungali vijana..au watoto,eti kwamba hatutaweza kushinda...na kuishi maisha ya wokovu.

1yohan 2:14 Biblia ianasema "Nimewaandikia ninyi vijana kwa sababu mna nguvu, na neno la MUNGU linakaandani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu" 
Hapa tunaona mtazamo wa MUNGU kwa Vijana, MUNGU anamtazamo wa tofauti kabisa kwa kila kundi la watu chini ya jua, mfano  vijana, watoto,wamama,wazee na hata kabila  ,taifa na jamii kwa ujumla na mtazamo wa MUNGU hauko sawa na ule wa kibinadamu.
UNAPOSEMA UJANA NI CHANGAMOTO NA NI UMRI AMBAO KIJANA ANASUMBULIWA NA KUSUMBUKA SANA NA DHAMBI NA TAMAA,SIKU ZOTE KIJANA NI MTU WA KUSHINDWA KUSIMAMA NA MUNGU, MUNGU YEYE ANASEMA UJANA NI WAKATI NA UMRI MZURI SANA MAANA VIJANA WOTE WANANGUVU NA TENA WAMEZISHINDA CHANGAMOTO NA DHAMBI ZA KILA NAMNA. 
SHIDA YA VIJANA NI MTAZAMO NA MKAO WA FIKRA ZETU VIJANA HAUKO SAWA, MAANA HIVYO UNAVYO JIONA WEWE LEO KUWA NI MTU WA KUSHINDWA TU NA KUSONGWA NA CHANGAMOTO NA TAMAA, MUNGU YEYE ANAKUONA WEWE NI SHUJAA NA WEWE NI MSHINDI NA TENA UNANGUVU  ZAIDI SANA KUWA WEWE UMEMSHINDA SHETANI.

Ok..sawa..naomba..kuendelea...ila kama unahari ya namna hiyo..au unaswali..juu ya wokovu..neema..na upendo wa Mungu..tafadhari..usisite..kuuliza...kama unapata shida..kuelewa...
      Yohana 3:16 'Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.'
   

 Nataka tuanzie..hapa...
Katika mafundisho ya Yesu Kristo..yohana alituandikia..na akaeleza juu ya mafundisho sahihi..na namna sahihi..jinsi Mungu anavyo wapenda..watu..wake...
 Kuna watu..kila..wakimwangalia..au wakiambiwa habari za kumwamini Yesu Kristo..na kuokoka..wanaona..kwamba..haziwahusu..kabisa..au bado wao hawastahiri kabisa...kuokoka...
Pia..kuna watu..leo hii..wameokoka..sawa..na wanaabudu..sawa..lakini..bado..hawajaujua upendo wa Mungu..sawasawa..na hata wao hawajui..kama..bado hawajui...maana..vile wanavyo...jua..siyo sahihi..na jinsi Mungu..alivyo..na wanavyo jitazama..na kujitathimini.


 Kuna watu..kila siku...wanaishi kwa pressure..sana...kiasi cha kumwogapa..Mungu..siyo kwa sababu..wanamwamini..ila kwa sababu ya mafundisho juu ya hasira na hukumu za Mungu na mafundisho ya sheria..au torati...
Inafika..sehemu..wanajiona..na wanamwona Mungu...kama ni MTU..AU HAKIMU...AMBAE AMEKAA..SEHEMU..NA ANASUBIRIA TU WAKOSEE AWAHUKUMU..NA KUWAPA ADHABU..WANAO KOSEA...

 Unakuta anapo..jikuta..hata..tu ile..kakosea..au kafanya kitu chochote..ambacho kinaitwa dhambi...na kanisa....MTU ABAHANGAIKA SANA..KUKIFICHA..NA KUFICHA HUO UDHAIFU...MBELE ZA USO WA MUNGU..KWA KUOGOPA..KWAMBA..MUNGU..ANAHASILA SANA...ATAMWADHIBU..TU..
NA WENGINE..WANAAMUA..KUACHA WOKOVU KWA KUSEMA...ACHA KWANZA WAJIPANGE UPYA...MAANA..WAMEKOSEA..SASA KURUDI KWA MUNGU..NA KUSIMAMA..NA UJASILI KUSEMA..WAMEOKOKA..NA WANAMPENDA YESU KRISTO..ni kama watakuwa wanamchezea Mungu tu na atawaadhibu....
  Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. 
Sikia...neno hili...linamaa..hii..
Kwa sababu..wanadamu wote..wanadhambi..na wala hakuna ambae anaweza akafikia sehemu kwa nguvu zake mwenyewe au katika umli fulani ataweza kuishinda dhambi,hivyo MUNGU kwa kuwa alikuwa na upendo wa dhati na ulimwengumzima alimtoa Yesu Kristo ili uwe msaada kwa wote wenye dhamhi na wote wanao taka ushirika na Mungu na utakatifu ambao Unampendeza Mungu ili kila atakaye mwamini Yesu Kristo..atapata nguvu..na mbinu..na kuwezeshwa..na msaada wa kuweza kuwa safi..siku zote za maisha..kwa umli wowote na wakati wowote..na hivyo..hiyo itamfanya..mtu yule..aliye mwamini..Yesu Kristo..kuishi katika utakatifu..na kuwa na utakatifu..na kuupata utakatifu maisha yake yote..hata kumwezesha kupata uzima wa milele...
Hivyo ile tu kujua kwamba wewe unaudhaifu wa kupenda dhambi na huwezi jizuia kutenda dhambi...
Ni sifa kubwa sana na ni furusa kubwa sana na sababu kubwa sana ya wewe kumpokea Yesu Kristo kwa sababu alikuja ili kuleta suruhisho la hizo tabia au hizo hali na kutuokoa na utumwa..wa kugandamizwa kufanya dhambi na mambo ambayo hata..nafsi zetu wenyewe hazipati faida tuyatendapo na pia hayana utukufu mbele za MUNGU wetu...
MAANA KWA SABABU HIYO HIYO..MUNGU ALIAMUA KUMTOA YESU KRISTO KUWA MSAADA NA SURUHISHO LA MATATIZO YA NAMNA..HIYO PIA....

 Mungu alimtoa Yesu Kristo kwa sababu aliona ya kuwa hata kama mtu atatambua anayo yafanya ni machukizo na ni mabaya yanayo mwangamiza..lakini..bado kujitambua huko..hakutamsaidia..mtu kitu chochote..maana...katika huo udhaifu..na hiyo dhambi..ipo nguvu..na msukumo unao mfanya..mtu kutenda dhambi...
Na Mungu akaamua kumtoa Yesu Kristo siyo tu tukimwamini tusamehewe dhambi,bali tukisha tambua ya kuwa hatutaki tena dhambi na tunataka kuisha na Mungu katika utakatifu kwa NJIA YA YESU KRISTO Mungu pia anatupa nguvu itakayo tutoa na kutuwezesha kuishi na kusimama imara katika maamuzi haya ya kukataa dhambi na kutaka utakatifu na kuishi katika  mahusiano mazuri na sahihi na Mungu wetu, na tatu..anatupa..mwelekeo sahihi..wa namna yakuishi sasa..na ushauri..au mambo yatupasayo kuyafanya...kulingana..na vile..inatakiwa na anataka...tuishi na kufanya...

Mathayo 11:27-30
'Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia  Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi'
 Katika hii mistari pia..bado Kristo Yesu anasisitiza na kufundisha..watu wamwamini..na siyo tu kumwamini..bali pia..watambue..nafasi..na heshima.na majukumu..makuu aliyo pewa...
Maana..anasema..yeye amekabiziwa mamlaka..yote...na Mungu...
Mamlaka..ipi...mamlaka..ya kuhakikisha..hakuna mtu anae potea hapa ulimwenguni kwa sababu Mungu anaupenda ulimwengu..na wala hataki..mtu awaye yote apotee..
  Na Mungu akaamua kumpa Yesu Mamlaka na kila nguvu na uweza na suruhisho za kila aina ya dhambi na matatizo na namna ya kushinda katika hayo matatizo Hivyo wale wote ambao watapata kutambua..na kuuona...wajibu..wa kiongozi Yesu Kristo..na wakisha kuona..na kuamini..Kristo kiongozi..na mkombozi..anasema...wajifunze sasa kwake..maana..pia..hajabeba..nguvu..peke yake..bali..pia..amebeba..na mafundisho au maelekezo maalumu ya maisha mapya ya umoja na Muunganiko na Mungu kwa wale wanao mwamini..Yesu Kristo na kutaka Muunganiko na Mungu..kwa njia ya Yesu Kristo...na baada ya maelekezo..sasa anasema..anawatua zile tabia..za dhambi..na mihemuko ya dhambi..ambayo ilikuwa ni mizigo mikubwa sana...na kuwa shauri sasa kubeba tabia mpya na mihemuko mipya ya ki-Mungu ambayo hii siyo mizigo mizito tena..wala haita kuwa mizito...tena..hivyo kila anaye kubali..ndivyo atakuwa amepata kupumzishwa..na kupokelewa..na Yesu Kristo..kile kilicho mlemea...hapo kwanza...


 Sasa hii..siri..ukipata kuifahamu..aua kuijua..na ukisha kujua..hivi..kumbe basi..utatambua..ni kwanamna...gani Yesu Kristo ni wa muhimu..sana..maishani tena..utatambua..kuwa unamhitaji..Yesu Kristo kwanzia ukiwa mdogo..au kwanzia leo..baada ya kuona heshima na wajibu alio nao..huyu Yesu Kristo kwa wanadamu..wote...pia..hii itakupa kufahamu..kuwa siyo watu wa dini..fulani..tu ndio wanao mtaka na wanapaswa kumtafuta Yesu Kristo....au familia..fulani..tu ndio wanao mhitaji..Yesu Kristo...
Yesu Kristo anahitajikwa kwa kila mtu ambae..yupo chini..ya jua..na ulimwengu..huu ambao Mungu anaupenda...maana..Mungu hatamani..wala hapendezewi..na mtu awaye yote..kupotea..bali anataka tuwe na uzima..wa milele..hivyo..basi ona unamhitaji Yesu Kristo hata kama wewe..ni wa dini..isiyo ya Kikristo...ili tu..akupe nguvu za kuishinda dhambi..akupe maelekezo mapya..na namna..yakuishi hapo katika mazingira yako...na pia akupe..tabia..mpya..na msukumo wa ki-Mungu ndani yako wa kutenda sawasawa na vile Mungu anataka utende...
Hivyo hivyo..kwa kijana..hivyo hivyo kwa mwanafunzi..na ni hivyo hivyo wa tanzania..na kwa nchi..nyingine..na kwa kila mtu....maana..maelekezo...na wajukumu..na maisha yetu hayafanani..kila mtu amepewa jukumu lake..na Mungu..na kipawa chake na Mungu..na kila mtu inampasa..aishi kwa kumpendeza Mungu katika kile kipawa na karama..au mazingira..aliyopo...hii haijarishi umri...au jinsia au taifa..au kabila..liwalo lote...
Nikweli..Mungu hapendi dhambi...pia hapendenzwi na matendo maovu..na anahasira sana...na kwa kila tendo ovu..ipo hasira na gadhabu ya Bwana...lakini...
SIKIA..NENO HILI LEO...HATA KAMA UMETENDA DHAMBI..NA GADHABU YA MUNGU..IMEACHILIWA...TENA..INAYO ANGAMIZA NA KUUA KABISA...MUNGU AMEMWEKA YESU KRISTO KUWA MSAADA KWA WALE WOTE WASIO PENDA KUANGAMIA..KATIKATI YA SAFARI...WALE AMBAO BADO WANAHITAJI KWENDA MBELE ZAIDI NA KUISHI ZAIDI...HATA KAMA WAMEMKASIRISHA BWANA....NA HII NDIYO NEEMA YA MUNGU...YAANI KUPEWA MSAADA PASIPO.WEWE KUSTAHIRI...MSAADA AMBAO WEWE HAUJAUFANYIA KAZI..NA WALA HAIKUPWASWA UTENDEWE HIVYO...ILA MUNGU KWA SABABU ANAKUPENDA..ANAKUPA..TU...SASA NI JUU YAKO..KUPOKEA AU KUKATAA..
Ukipokea utaishi..na kusonga mbele na safari..na ukikataa..utaishia hapohapo..na utakufa..na tutakuzika...wala huta kaa ukafikia..kule..ulitakiwa kufikia... Haya siyo maneno yangu..mimi mwenyewe..bali..ni maneno..na mafu.disho ya Yesu Kristo...BIBLIA..INASEMA HIVI....
'KAMA VILE MUSA ALIVYOMWINUA JUU NYOKA WA SHABA KULE JANGWANI,NAYE MWANA WA MTU ATAINULIWA JUU VIVYO HIVYO...ILI KILA ANAYEMWAMINI AWE NA UZIMA WA MILELE..'
Yohana 3:14-15...
Na baada ya maneno hayo..ndipo akasema..sasa
"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hivi..hata akamtoa Mwana wake wa pekee,ilo kila amwaminiye asipotee,bali awe na uzima wa milele.."

Sikiliza....nikukumbushe..hili..tu..ili likusaidie...kipindi cha safari ya wana wa Israeli..hawa watu..wali.ung'unika sana..na kumlalamikia Musa..na hata kushindwa kumheshimu Mungu..na kutenda kinyume..na Mungu aliwataka watende...sasa hasirs za Mungu zilipo wako..Mungu akaamua..kuachilia..adhabu..akatuma nyoka...wenye sumu..kali..sana..na nyoka wa moto...na nyoka..hawa waliletwa na Mungu ili kusudi watu wote..waangamie...lakini..pamoja..na hasira zote hizo na maudhi yote...waliyo mfanyia..Mungu..bado Mungu..alikuwa anawapenda..sana..hawa watu..hivyo..akamwambia..Musa...atengeneze..nyoka wa shaba...ili kuwasaidia wale..watu ambao watamwamini...Mungu na kuirudisha mioyo yao kwa Mungu..kupitia mtumishi wake Musa...ili wasonge mbele..na safari ya kwenda..kaanani..katika nchi ya ahadi...aliyo waahidi Mungu...

Ulisha wahi..kujiuliza..kwanini Mungu kama aliamua kuwahurumia..wasiangamie..hakuwaondoa wale..nyoka..? Na badala yake..akaweka...nyoka wa shaba...ili kila anaue ng'atwa na nyoka wa moto na sumu..akimwangalia..tu nyoka wa shaba iliye tengenezwa na Musa..anapona..??

 Mungu..hakuwaondoa..wale..nyoka kwa sababu..alitaka kuibadirisha mioyo..yao..na pia..alitaka wale ambao wapo tayari..na wanamwamini..tu..na wanaamini..na kutamani..sana kuifikia ahadi ya Mungu..ya kwenda kaanani..wasife..bali waishi..na kuwa salama...na kumtegemea..yeye tu...kwa maelekezo...na mafundisho yake...na kwa njia zake..kama alivyo kuwa anamwongoza Mussa..na kwa wakati wake...
Maana..ilifika sasa wakati wale watu baadhi yao walikata tamaa..wakachoka..na mbaya zaidi..wakapoteza IMANI..yao..kwa Mungu..na kwa Musa mtumishi wa Mungu..na wakaanzisha mgomo..kwa kusema..hatuendi...huko..bali..tutakaa..hapahapa...nyikanni...au tutarudi..tuliko toka..huko..Misri...maana..wewe Mussa...umetudanganya...pia..huyo Mungu wango...ni mwongo...maana...tumezunguka..sana...na tumetembea..sana..na wala..hatufiki..tu..huko..aliko ahidi...hivyo ni bora tu..sisi..tukae hapa..ndipo..Mungu..akaamua..kutoa adhabu..hiyo..ya nyoka..wenye..moto na sumu..kali..

Pamoja..na kwamba..hasira ya Mungu..ipo..na dhambi..ipo..na kuwa  Mungu hapendi..dhambi..na wote watendao dhambi...ni sahihi..kabisa...lakini..tazama...watu..sisi..sisi..wenye dhambi..tumewekewa NEEMA..ambayo ni Yesu Kristo...ya kuwa tukimwangalia..yeye..tu...dhambi..zetu..hazihesabiwi..tena..gadhabu..ya dhambi..na hasira ya Mungu haitupati..kabisa...na hata kama tulikuwa..tumejeruhiwa na hasira ya Mungu...na madhara ya dhambi...lakini..Tukimwangalia..Yesu Kristo...tunapona...TENA..TUNAPONA KABISA....
SIKIA NDUGU...WALIO MTAZAMA NYOKA WA SHABA...WALIPONA...NA SAFARI YA KWENDA KAANANI..IKAENDELEA....WALA HATA HAWAKUFA...WALA KUANGAMIA..PALE..JANGWANI....
HATA LEO HII..SIKIA...JE UNATAKA KUFIKIA..NA KUZIPATA..AHADI ZA BWANA...ZILIZO ANDIKWA...YA KWAMBA..UTAKUWA TAJIRI WALA SI MASIKINI...!!!? YAKWAMBA..UTAKUWA MZIMA..WALA SIYO MGONJWA..MANA..ATAKUPONYA MAGONJWA YAKO..YOTE...!!? UNATAMANI..KUFIKA KATIKA AHADI..YA MAISHA YA WOKOVU...NA UZIMA WA MILELE...!!??...SIKIA USIWAANGALIE HAO NYOKA...WENYE SUMU...AMBAO NI HASIRA ZA MUNGU...WALA USIANGALIE HASIRA ZA MUNGU..NA GADHABU..YA MUNGU JUU YA MATENDO MAOVU..BALI ELEKEZA MAWAZO YAKO..NA NIA YAKO..LEO KUWA KWA KUMTAZAMA YESU KRISTO..HAUTAKI KUANGAMIA..NA KUISHIA HAPO ULIPO..NA KUANGAMIAZWA NA HIZO DHAMBI NA UOVU...UWAO WOTE BALI...MWANGALIE YESU KRISTO..UPEKEE NGUVU MPYA..NA TUMAINI JIPYA..YA KWAMBA..PAMOJA..NA YOTE..ULOTENDA...TAMBUA KUWA MUNGU ANAKUPENDA NA HATAKI UANGAMIE...ATAKUFIKISHA..KAANANI...TU...ATAKUFIKASHA TU KATIKA AHADI ZAKE...ATAKUFIKISHA TU..KATIKA UZIMA WA MILELE...KWANINI..SASA UKATE TAMAAA.....!!!

KUMBUKA...YESU KRISTO ALIFUNDISHA.. 
soma tena hii mistari kwa makini;
Mathayo 11:27 Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.
Mathayo 11:28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
Mathayo 11:29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
Mathayo 11:30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Mungu akubariki..sana...endelea..kubarikiwa zaidi..usikose mwendelizo wa somo hili...wala usitamani..kukosa....yale..yajayo..katika wakati..ujao...pia..watumie na ndugu wengine zaidi ili nao wabarikiwe na neno la MUNGU.


Mimi naitwa Elisha Ndumizi
kama umebarikiwa na somo hili na unapenda kupata ushauri au maelezo zaidi namna ya KUOKOKA NA KUMPOKEA YESU KRISTO AU UNAHITAJI MAOMBI
Wasiliana nami kwa 0654501879
elishajulius498@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

UWEZA WA MUNGU JUU YA MAGONJWA NA VYANZO VYAKE

UMUHIMU WA IBADA

IJUE IBADA-SEHEMU YA KWANZA