PASAKA...PASAKA...PASAKA

Bwana...Yesu Kristo...asifiwe...sana wapendwa
Kutoka 12:1-2,23-28
*BWANA akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri,akawaambia,Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu;utakuwa ni mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu.........23 Kwa kuwa BWANA atapita ili awapige hao Wamisri;na hapo atakapoiona hiyo damu katika kizingiti cha juu,na katika ile miimomiwili,BWANA atapita juu ya mlango,wala hata mwacha mwenye kuharibu aingie nyumbani mwenu kuwapiga ninyi.....Nanyi mtalitunza jambo hili kuwa ni amri kwako na kwa wanao milele...Itakuwa hapo mtakapoifikilia hiyo nchi,BWANA atakayowapa,kama alivyoahidi,ndipo  mtakapoushika utumishi huu...Kisha itakuwa hapo watoto wenu watakapo wauliza N'nini maana yake utumishi huu kwenu..?Ndipo mtawaambia,ni dhabihu ya pasaka ya BWANA,kwa kuwa alipita juu ya nyumba za wana wa Israeli huko Misri,hapo alipowapiga Wamisri,akaziokoa nyumba zetu.Hao watu wakainama vichwa na kusujudia..Basi wana wa Israeli wakaenda wakafanya mambo hayo;vili vile kama BWANA alivyowaamuru Musa n Haruni,ndivyo walivyo fanya.*
Ndugu...katika BWANA nataka leo tujifunze...kwa sehemu...tu juu ya swala hili...na safari hii mpya ya wana wa Israeli..ilivyo kuwa...na hiyo mistari hapo juu tutaitumia...kama ndo kiini cha somo.....

BWANA,(YEHOVA)alipo kuwa anatoa maelekezo..na ameshuka kuwatoa wana wa Misri...alitoa...mwongozi...na maelekezo ya jinsi mambo yatakavyo kuwa...kwanzia...wakati huohuo na siku ileile...ambayo anatoa hayo maelekezo....
Hayakuwa ni maneno rahisi  tu ya kawaida kama unavyo fikili..bali ni maneno ya Imani...na ambayo yalitaka mtu anaye yapokea..awe na Imani...maana alitangaza na kuonyesha bayana ya mambo yatarajiwayo...au yatakayo takea..na hakika yake...na hata mwisho...wake...soma waebrania...11:1..uone...nini maana ya imani...
BWANA,anaongea na Musa na Haruni...akiwa teyari anajua..na tayari kila kitu anacho kisema..saa hiyo...ni kitu ambacho ni harisia..na kitatokea...jinsi vilevile..anavyo kielezea....
Kwa lugha...nyingine...anaposema...
Leo..itakuwa ni mwezi wa kwanza na siku ya kwanza...hii inatuonesha ya kwamba...anawambia...wana wa Israeli kuwa kwanzia...sasa hivi ninavyo ongea...nyie..siyo watumwa tena...japo kuwa farao bado hajawapa...ruhusa..na hajawaba hati na cheti cha kusema wapo huru...hata kama hatawapa ruhusa..na kutangaza kuwaachia huru..ila leo..ni mwanzo wa maisha mapyana mfumo mpya wa maisha....
Sijui...kama unanielewa...hadi hapo...
Jambo lililo fuata..ilikuwa...ni juu ya kuchinja...KONDOO...kama sadaka..na maelekezo...maalumu....namna ya kumla...huyo kondoo..na namna ya kutumia...damu..yake..
KONDOO walewale..ambao wana wa Israeli wamekuwa wakichinja na kula..lakini...kwa sababu...ni mwanzo..mpya..na mfumo wa maisha umebadirishwa...kwanzia..saa ileile..hata namna ya kula..na kuchinja..kondooo kwao..kulibadilika..na matumizi ya kondoo kwao yakabadilika...yakawa na thamani..sana..kushinda matumizi ya kondoo kwa watu wa Misri...
Na jambo la tatu...la kushangaza sana..ni hili yakuwa...jambo hili...litakuwa linafanyika kwenu tangu leo hata milele...na watoto wenu...watawauliza...na siku wakiwauliza..mtawaeleza ya kuwa ni mimi BWANA,nilishuka..nikapita juu ya milango yenu..na ya wamisri..lakini..nilipo fika kwenye..kila mlango ambapo walitumia...vizuri damu ya KONDOO kama ambavyo nimewaelekeza..mimi BWANA nilikaa juu ya nyumba hiyo wala sikumruhusu adui..aiangamize hiyo nyumba....
Hivyo hapo tunaona Mungu anajawaelekeza watu ambao wanajiona..ni watumwa bado..na watu ambao hata jawajauona uhuru wao...lakini anawapa waelekezo juu ya maisha ya mbeleni...wakiwa huru kabisa...bila shaka waha watu...au baadhi ya watu hao wa Israeli huenda walipata maswali...juu ya huo uhuru anao waeleza..na hivyo vifo..na namna Mungu atakavyo kuu akikaa juu ya mlango...ila uzuri waliamini...na wakauona mkono wa BWANA...na yote aliyo sema BWANA..waliyapokea..na kuyashuhudia..
sikia...kuna watu hapa...leo hii ambao tayari YESU KRISTO ni pasaka lakini...bado tu wana hawaelewi..na kuona mabadiliko...juu ya maisha yao...
Pamoja..na kwamba kumbukumbu ya pasaka..ilikuwa juzi..tu...lakini kuna watu hapa wanasema...PASAKA..NI PASAKA NA NISIKUKUU KAMA SIKUKUU ZINGINE...wala sioni mabadiriko...kabisa...wala sioni faida...kabisa....
Tunapo ongelea...pasaka..katika maisha yetu...tunaongelea..kitendo cha BWANA..MUNGU WETU KUJA KUINGILIA UTARATIBU WA MAISHA YETU..NA UONGOZI WOTE UNAO TUONGOZA..NA UNAO TUFANYA TUWE WATUMWA...TUSIO NA FURAHA...YEYE..MWENYEWE..ANASIMAMA...NA KUTANGAZA MABADILIKO...YAANI UHURU..JUU YA HALI YA UTUMWA WETU...
BWANA MUNGU WETU...KUSHUKA..YEYE MWENYEWE NA KUSIMAMA JUU YA MILANGO YETU..ILI KUZUIA MAPIGO..NA KUZUIA ADUI AISIINGIE...KWETU..
LAKINI PIA NI TUNAONGELEA..HABARI ZA UTUMISHI WOTE WA BWANA YA KUWA UTAKUWA NASI AU BWANA ATAKUWA ANAFANYA HIVI KWETU MILELE...YAANI NI UTUMISHI WA MILELE..
Maana yeye alisimama kama kondoo..na uhai wa kondoo ni damu ya kondoo...hivyo hivyo..na..yeue uhai wake...unapo simama...pale..ambapo damu ya kondoo ilitumika..alikaa katika milango yeye...ona..baada ya damu kuwekwa milangoni...hii ilimfanya na yeye kuja kukaa juu ya milango hiyo..hii inamaana kuwa uhai wake..pale..ulipo kaa hapo ndipo na yeye alishuka na akakaa hapo kulinda...na kutetea...
Na ndio maana wana wa Israeli walipo amka wapo wazima..yawezekana kabisa waliona ni jambo la kawaida tu..mbona kila siku wanaamkaga salama wakiwa wazima....lakini kilicho wapata wenzao kiliwakumbusha kuwa wao ni wazima kwa sababu...kuna aliye tangaza uzima..na kuulinda uzima wao usiku mzima wakati wao wamelala...hivyo walikumbuka..ile damu...na wakamkumbuka...Mungu....na ahadi zote alizo waambia..na hii iliwafanya..kuchangamka..na kuchangamkia..furusa...ambayo ipo mbele yao ya kwenda...kwenye nchi ya ahadi...
Sijui...kama tupo pamoja mpaka...hapo...
HABARI NJEMA ZAIDI KWAKO LEO..NI KIWA...je nawewe..nyuma vimekaza...? Je!maisha yamekuwa machungu kama wana wa Israeli...?
Ona raha hii kwa Jina la Yesu Kristo pasaka wako...
Soma hii kwanza..
kutoka 12:35-36 *Wana wa Israeli wakafanya kama neno lile la Musa;wakataka kwa Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu,na mavazi...BWANA akawajalia kupendelewa na wamisri hata wakawapa kila walichokitaka.Nao wakawateka Wamisri nyara...*

Hizi ni habari za raha kweli..Mungu akupe..kuona..
Asubuhi..baada ya Wanawaisraeli..kuamka kama kawaida...ila wakaona wenzao..wameamka tofauti..maana kumetokea uharibifu kwao...(Wamisri) Israeli wakakumbuka...sasa ahaa kumbe hii kuamka ya leo..siyo kama ya siku zote..japo kuwa inamfanano..na kuamka zilizopita...lakini..hii ya leo..ni kwa sababu...BWANA alilala mlangoni kwetu...akilinda na kuzuia..misiba...wakatambua...sili hiyo kuwa BWANA wetu yupo kazini...
Wakawa sasa ndo wanachangamkia hiyo ofa ya kuondoka Misri katika nchi ya utumwa...lakini Mungu akawapa fursa..kabla hawajaondoka....akasema...
kwa haohao ambao wameamka..vibaya...nendeni kwao na kutaka kitu chochote..mnacho kitaka..tena takeni vitu vya dhamani...
Jamaa wakachangamkia Fursa...asa katika hiyo fursa..BWANA akawa yupo kazini anasimamia..fursa hiyo...akawafanya..wakapendelewa...wakapewa..vitu vyingi...sana..kiasi ambacho si kawaida..na isingekuwa BWANA wasingepata..

Leo YESU KRISTO NI AMETOLEWA KAMA SADAKA YA  PASAKA...

Sikiliza mpokea Yesu Kristo na kumwamini..yaani kuokoka...BWANA anaingia katika utumishi..juu ya malango yako...kama ilivyo kuwa kwa wamisri....atakulinda..na mabaya na atakuamsha salama..
UKISHA KUWA NA BWANA JUU YA MALANGO YAKO..UNAWEZA USIONE...ASUBUHI YAKO..JINSI ILIVYO YA PEKEE..MAANA ULIZOEA TU KUAMKA SIKU ZOTE..UKIWA HIVYO HIVYO...ILA UKITAZAMA KWA WENGINE..AMBAO ASUBUHI ZAO..ZIMEHARIBIWA NA MWOVU USIKU UTAGUNDUA..KUWA KUMBE...HII SI KAWAIDA..YUPO MTU ALIKAA MLANGONI...USIKU AKANILINDA NA KUNITETEA...HAPO UTAONA TOFAUTI...sasa hiyo tafauti ikupe..kuchangamkia...hiyo nafasi ya kwenda kuiridhi nchi ya ahadi ya raha..na si hivyo...tu...
Ukiwa unaendelea kujiandaa..na hiyo safari...geuka katika mazingira yako...alafu BWANA atasimama..na kukupa kupendelewa...katika hayo mazingira...kwa watu wanao kuzunguka...
HAPA TENGENEZA NAMNA YA KUWEZA KUTAKA PESA NA VITU VYA THAMANI KWA AJILI YA MAISHA YAKP..UVIPENDAVYO KWA WANAO KUZUNGUKA...
KAMA NI BIASHARA..WAKATI HUU WA WENGINE WANALIA..ASUBUHI ZAO NI MBAYA..LAKINI HALI NI NGUMU..WEWE MUNGU ATAKUPA KUPENDELEWA..WATEJA WATAKUWA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO..NA UTAPATA FAIDA SANA..MAANA NI BWANA NDIYE ANAYE SIMAMIA HIYO FURSA YAKO...
KAMA NI ELIMU BWANA ATASIMAMIA HIYO ELIMU YAKO NA MASOMO YAKO..KATIKATI YA UGUMU WA KILA NAMNA LAKINI MUNGU ATAKUPA KUPENDEKEWA..NA KUKUFANIKISHA NA KUKUPA FAIDA..NA KUKUFAULISHA KWA MAANA YEYE NDIYE ANAYE SIMAMIA HIYO FURSA YAKO...
SIKIA KATIKA KILA JAMBO AMBALO UTATIA MKONO..NA KUTIA NIA KULITAKA..BWANA ATAKUPA KUPENDELEWA..NA KUKIPA ZAIDI UA KILE UNACHO HITAJI...MAANA YEYE NDIYE ANAYE SAMAMIA..HIYO FURSA..NA KUWAFANYA WENGINE...WAKUPENDELEE
KAMA NI KAZI WEWE USICHOKE..TUMA MAOMBI SEHEMU YOYOTE...NA UTAPATA KAZI..NA BWANA ATAKUPA KUPENDELEWA..NA WATU WATAKUPATIA KAZI HATA KAMA WAMEJAA NA HUZUNI KWA SABABU YA ASUBUHI ZAO KUHARIBIWA...MAANA BWANA ATASIMAMIA HIYO FURSA YAKO...
TANGAZO LANGU KWAKO..SIKU YA LEO..KWAKO AMBAE KRISTO AMEFANIKA PASAKA KWAKO..USIKAE..NA KUBWETEKA...SIKIA..UANAPO ENDELEA NA SAFARI YA KWENDA MBINGUNI...NA UNAPO ISUBIRI HIYO SIKU KWA HAMU...MPENDWA..ANGALIA FURSA..ZINAZO KUZUNGUKA..AMATENGENEZA MFUMO WA KUJIKUSANYIA..VITU UTAKAVYO KUTOKA KWA WATU WANAO KUZUNGUKA...HATA KAMA UNAPO WAANGALIA..WANAONEKANA WANAHALI NGUMU..KIASI GANI WEWE TAFUTA FURSA..NA TUMIA FURSA HIYO..MAANA MUNGU YUPO KAZINI KATIKA UTUMISHI WA MILELE KWA AJILI YAKO..NA ATAKUPA KUPENDELEWA...MAANA YEYE NDIYE ANAYE SIMAMIA FURSA ZAKO...

KAMA HAUJAOKAKA...NI SAA YAKO NA FURSA  MUHIMU SANA KWAO..KARIBU UOKOKE...NA KUINGIA AGANO NA HUYU YESU KRISTO..ILI UMWONE MUNGU...MAANA KUOKOKA SIYO SWALA LA DINI AU DHEHEBU..BALI NI SWALA LA KILA MTU..ANAYE TAKA KUMWONA MUNGU..NA KUINGIA MBINGUNI KATIKA UZIMA WA MILELE..

NAKUBARIKI KWA JINA LA MUNGU WANGU..
NATANGAZA..NA KUKIRI..JUU YAKO...KUWA.
~MUNGU AKUBARIKI KWA JINA LA YESU KRISTO..
~MUNGU AKUINUE KWA JINA LA YESU KRISTO
~MUNGU AKUPONYE NA KUKULINDA KWA JINA LA YESU KRISTO....
~BWANA AKUPE KUPENDELEWA.NA WATU WAKUZUNGUKAO KWA JINA LA YESU
KRISTO....
~BWANA AKUPE FURSA NA KUKUFANIKISHA KWA JINA LA YESU KRISTO..

Usimsahau..Mungu wako..anaekufanikisha leo..mtolee sadaka...
Kwa mawasiliano..zaidi..mimi..naitwa
Elisha Ndumizi
0654501879.

Comments

Popular posts from this blog

UWEZA WA MUNGU JUU YA MAGONJWA NA VYANZO VYAKE

UMUHIMU WA IBADA

IJUE IBADA-SEHEMU YA KWANZA