TIME TABLE

RATIBA NA UTARATIBU WA HUDUMA NDANI YA GROUP KWA WIKI HILI:
JUMA TATU
TUTAKUWA NA MASOMO LA MADHARA YA DHAMBI
WOKOVU
UKUU WA MUNGU
JUMANNE
TUTAKUWA NA RATIBA YA USHAURI KWA WATU
MASWALI NA MAJIBU
KUPOKEA MAONI NA MAONO YA KILA MTU KATIKA WITO ALIO NAO
JUMATANO
TUTAKUWA NA SOMO LA UTUMISHI
MAADIRI YA UTUMISHI
NAMNA YA KUTUMIKA NA KULINDA HUDUMA/MAONO ULIYO NAYO
ALHAMISI
ITAKUWA NI SIKU YA MAOMBI NA MAOMBEZI
MAMBO YA MSINGI YA KUOMBEA YATATUMWA MAPEMA ASUBUHI
KUOMBEA WATU WENYE SHIDA NA PIA USHAURI UTAFANYIKA SIKU  HIYO
IJUMAA
KUTAKUWA NA MASOMO YA BIBLIA NA JINSI YA KUSOMA NA MISINGI YA KUTAFSIRI MAANDIKO
MASWALI NA MAJIBU YAHUSUYO UELEWA WA BIBLIA
JUMAMOSI
KUTAKUWA NA MASOMO YA NDOA NA MAHUSIANO
MASWALI NA MAJIBU
USHAURI KWA WATU WOTE
JUMAPILI KUTAKUWA NA SHUHUDA
SHUKURANI
TATHIMINI YA WIKI
⚠ANGALIZO
KILA MSHIRIKA AZINGATIE RATIBA  JINSI ILIVYO
MASOMO YATATOLEWA  NA WATU WALIOPO ZAMU  LAKINI PIA
WOTE TUNA HAKI YA KUTUMA KILE AMBACHO TUNACHO LAKINI KWA KUFUATA RATIBA HIVYO USITUME SOMO LILIO NJE YA RATIBA YA SIKU HISIKA ILI KUWEKA UTULIVU
KWA MTU YEYOTE AMBAE ATAPATA SHIDA YA JAMBO LOLOTE ATUME TAARIFA ILI TUJUE NAMNA YA KUMSAIDIA

Comments

Popular posts from this blog

UWEZA WA MUNGU JUU YA MAGONJWA NA VYANZO VYAKE

UMUHIMU WA IBADA

IJUE IBADA-SEHEMU YA KWANZA