MUME MWEMA
🤝MUME MWEMA KWAKO EWE BINTI
👉Awe mcha Mungu
👉Anaonyesha kukujali na kukuheshimu
👉Anaonyesha kuwa wewe ndiyo chaguo lake na anautulivu na huo upendo anakujali
👉Anamipango ya maendeleo ya baadae kuhusu maisha
👉Anaonyesha uwajibikaji...?
👉Je!anaweza kuwa baba na anaweza kukuwajibisha? Na kuwa na misimamo kama mume...?
👉Anaweza kuomba msamaha...?
🤝UKIONA BAADHI YA YAFUATAYO JUA NI KIMEO A.K.A BOMU
👉Anaba tendo la ndoa kabla ya ndoa
👉Hataki kufanya kazi
👉Hajishughulishi na mambo ya Mungu
👉Anategemea wazazi kwa kila kitu kupita kiasi..(hawez hata jisimamia mwenyewe)

Comments
Post a Comment