Posts

Showing posts from February, 2018

TIME TABLE

RATIBA NA UTARATIBU WA HUDUMA NDANI YA GROUP KWA WIKI HILI: JUMA TATU TUTAKUWA NA MASOMO LA MADHARA YA DHAMBI WOKOVU UKUU WA MUNGU JUMANNE TUTAKUWA NA RATIBA YA USHAURI KWA WATU MASWALI NA MAJIBU KUPOKEA MAONI NA MAONO YA KILA MTU KATIKA WITO ALIO NAO JUMATANO TUTAKUWA NA SOMO LA UTUMISHI MAADIRI YA UTUMISHI NAMNA YA KUTUMIKA NA KULINDA HUDUMA/MAONO ULIYO NAYO ALHAMISI ITAKUWA NI SIKU YA MAOMBI NA MAOMBEZI MAMBO YA MSINGI YA KUOMBEA YATATUMWA MAPEMA ASUBUHI KUOMBEA WATU WENYE SHIDA NA PIA USHAURI UTAFANYIKA SIKU  HIYO IJUMAA KUTAKUWA NA MASOMO YA BIBLIA NA JINSI YA KUSOMA NA MISINGI YA KUTAFSIRI MAANDIKO MASWALI NA MAJIBU YAHUSUYO UELEWA WA BIBLIA JUMAMOSI KUTAKUWA NA MASOMO YA NDOA NA MAHUSIANO MASWALI NA MAJIBU USHAURI KWA WATU WOTE JUMAPILI KUTAKUWA NA SHUHUDA SHUKURANI TATHIMINI YA WIKI ⚠ANGALIZO KILA MSHIRIKA AZINGATIE RATIBA  JINSI ILIVYO MASOMO YATATOLEWA  NA WATU WALIOPO ZAMU  LAKINI PIA WOTE TUNA HAKI YA KUTUMA KILE AMBACH...

NDOA NA MAHUSIANO

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana.... Mpendwa karibu sana katika mwenfelezo wa somo letu.... Nataka tuendelee na somo..letu la leo.. kumbuka tunajifunza..MAHUSIANO NA NDOA...na baade nataka tuje kuona namna ya kutambua chaguo lako sahihi...lakini pia namna ya kuweza kudumu na huyo mke/mume uliye naye...endelea kuomba..Mungu azidi kutupa hekima...na maarifa zaidi kiweza kukupa kitu kitakacho kusaidia na kukuwezesha kufanikiwa na kuwa na Mahusiano mazuri na ndoa nzuri ~ Niukweli usio pingika kila mtu anahitaji mke mwema...au mume mwema...na biblia..inasema mke/mume mwema atoka kwa Bwana...lakini kuna namna...ya kuweza pia kugundua kuwa huyu...ni special kweli kutoka kwa Bwana Sasa kwa wale ambao bado hamjaoa au kuolewa...nataka nikupe sifa kadhaa hapa ambazo ztakusaidia...   MUME MWEMA KWAKO EWE BINTI ~ Awe mcha Mungu ~ Anaonyesha kukujali na kukuheshimu ~ Anaonyesha kuwa wewe ndiyo chaguo lake na anautulivu na huo upendo anakujali ~ Anamipango ya maendeleo ya baadae kuhusu m...

NDOA NA MAHUSIANO

Bwana Yesu Kristo asifiwe sana... Namshukuru sana Mungu kwa ajili na neema hii ambayo ametupa..na kutupa kibari hiki cha kuiona siku hii ya leo... karibuni sana wote katika somo letu...la MAHUSIANO NA NDOA...leo tutaendelea..katika ile sehemu tulipo ishia wiki iliy o pita... ~ Sehemu iliyo pita..tuliangalia mambo kaadhaa ya msingi kuangalia..ili kuweza kutunza mahusiano hako...au kabla hujaingia katika mahusiano... -Tulisema Jua history ya mweza wako.. -Tulisema pia Jua Mahusiano yenu na Mungu...maana ndoa imara ni ndoa iriyo jengwa katika Kristo... -Tukaona pia jitahidi kujua utamaduni wa mwenza wako... -Tukaona pia jambo muhimu.. lingine...kuwa lazima UJUE HAIBA YA MWENZA WAKO..... -Haiba ni tabia  au sifa ambayo inamtambulisha mtu...yaweza kuwa uchngamfu...hasira...upole..nk.. -Na kwa watalamu wa saikolojia ya mahusiano na tabia...wameziweka tabia na haiba za watu katika makundi manne.... +Sangwini +Melankoli +Flagmatik +Kolerik Na tuliangalia hayo makundi..kwa ...
Image
Image
Image
Image

UFAHAMU JUU YA DHAMBI NA LAANA

Bwana YESU KRISTO asalifiwe sana...mpendwa ... Karibu sana...tujifunze..pamoja..neno la Bwana Wagalatia 3:7-10 "Fahamini basi, ya kuwa wale walio wa imani,hao ndio wana wa Ibarahimu...Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiri Ibrahimu habari njema zamani,kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa....Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwenye imani....Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria,wako chini ya laana; maana imeandikwa,Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati,ayafanye...". -Lengo la somo hili..ni.kukuongezea...na kuimarisha imani yako kwa Yesu Kristo.. -Pia kumwezesha mtu yeyote ambae hajamwamini Yesu Kristo aweze kumjua..na kumwamini..ili akapate kuishi milele.. -Dhambi...ni nini...? -Laana ni nini?                 DHAMBI -Dhambi ni uasi...yaani kwenda kinyume n...

WOKOVU NI NEEMA TUPATAYO KWA NJIA YA IMANI

Warumi 3:21-26 "Lakini sasa,haki ya Mungu imedhihirika pasipo sheria;inashuhudiwa na torati na manabii; ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya  imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio.Maana hakuna tofauti;kwa sababu wote wamefanya dhambi,na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; wanahesabiwa haji bure kwa neema yake,kwa njia ya ukimbozi ulio katika Kristo Yesu; ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake,ili aonyeshe haki...yake kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zotd zilizotangulia kufanywa; apate kuonyesha haki yake wakati huu...ili awe mwenye haki na mwenye kumhesabu haki yeye amwaminiye Yesu..." Bwana Yesu Kristo asifiwe sana...karibu sana...tujifunze pamoja.. Lengo la somo hili...ni..kukujengea..imani zaidi juu ya maisha yako..na kukupa uhakika..juu ya wokovu na Imani uliyo nayo Kuwasaidia..ambao bado hawajaokoka..wapate..kuokoka na kupokea wokovu.. Kumekuwa na mafundisho mengi..ambayo yanaeleze habari za wokovu...

MUME MWEMA

Image
🤝MUME MWEMA KWAKO EWE BINTI 👉Awe mcha Mungu 👉Anaonyesha kukujali na kukuheshimu 👉Anaonyesha kuwa wewe ndiyo chaguo lake na anautulivu na huo upendo anakujali 👉Anamipango ya maendeleo ya baadae kuhusu maisha 👉Anaonyesha uwajibikaji...? 👉Je!anaweza kuwa baba na anaweza kukuwajibisha?  Na kuwa na misimamo kama mume...? 👉Anaweza kuomba msamaha...? 🤝UKIONA BAADHI YA YAFUATAYO JUA NI KIMEO A.K.A BOMU 👉Anaba tendo la ndoa kabla ya ndoa 👉Hataki kufanya kazi 👉Hajishughulishi na mambo ya Mungu 👉Anategemea wazazi kwa kila kitu kupita kiasi..(hawez hata jisimamia mwenyewe)