Posts

Showing posts from June, 2018

UMUHIMU WA IBADA

 IBADA...IBADA...IBADA... ~Ibada..huleta majibu..ya maswali...yetu yote... ~Ibada huleta...muunganiko wa nguvu..kiungu...na Mungu..na hatimaye..kutupa..kuganikiwa... ~Ibada..huleta..amani..na furaha..na matumaini...mapya...tena.. ~Ibada...huleta...kila..miujiza..tunayo ihitaji..katika maisha.. ~Ibada...huleta..maisha..na huamua..maisha..yate yaweje... Katika maisha ya mwanadamu..jambo moja..tu lenye maana..na lenye umuhimu..sana..kuliko.yote..ni IBADA... Bora ukosee sehemu zingine zote..lakini..usikosee wenye..IBADA.... Kosea..mambo yote..lakini...usikubali..kukosea...IBADA Ngoja..niseme..kwa hivi...ili tuelewane...biblia..inasema..hivi...  1timotheo 2:1-3 *Basi kabla ya mambo yote nataka dua na sala na maombezi na shukurani zifanyike kwa ajili ya watu wote...kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka tuishi maisha ya utulivu na amani..katika utauwa(uungu) wote na ustahivu...Hili ni zuri nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu. * PIA  Wafipi 4:4-7 *Furahini ka...

JE! UMEIONA NEEMA YA MUNGU NA UPENDO WA MUNGU KATIKA NYAKATI ZA LEO ?

 BWANA Yesu Kristo asifiwe..sana ndugu na rafiki yangu katika KRISTO..        Natamani sana..tuweze kwenda pamoja...kujifunza anagalau kwa sehemu..habari za NEEMA NA UPENDO WA MUNGU...KWA WATU..WAKE... Mara nyingi..sana..tumejifunza juu ya hukumu..tu za Mungu..na hasira ya Mungu..na adhabu...mbalimbali...ambazo zimeandikwa...katika Biblia pia  Kuna wakati...hasa kwa watu ambao..wanatamani..kuokoka..lakini..wakijitathimini..na kujiangalia...wanatabia..au mazoea...mabaya..sana...na..wanadai kwamba hadi waache hizo tabia..ndipo wataokoka...Je! Ni wewe...? Au je! Unarafiki yako ambaye...anawaza na anamawazo ya hivyo...? Leo natamani sana..tujifunze...uzuri wa Mu.gu..na jinsi neema..ya Mungu..ilivyo kwetu... Kuna...kauri kadhaa hivi..mimi zilinifanya..nianze kutafuta..kujua sana..juu ya Neema..na Upendo wa Mungu...  Niliwahi kuchekwa..sana..na kuambiwa...wewe utaokokaje..na wakati wewe ni kijana...!!? Na nikapewa ushauri kuwa..ni heri kusubiria..kwanz...