IJUE IBADA-SEHEMU YA KWANZA
SOMO LETU LA SASA..NI IBADA.. JE! IBADA NI NINI....? ~ Lengo la somo ni kuimarisha uhusiano wetu na Mungu... ~ Kujifunza na kumjua Mungu,ili kuweza kumwabudu kwa uhakika na kwa Imani... Mathayo 4:10 *Ndipo Yesu alipo mwambia,Nenda zako,Shetani;kwa maana imeandikwa,Msujudie Bwana Mungu wako,umwabudu yeye peke yake.* pia..ukisoma Kumbukumbu la torati 6:10-14 lakini 12&13 inasema... *Ndipo ujitunze,usije ilukamsahau BWANA aliyekutoa nchi ya misri,nyumba ya utumwa.Mche BWANA,Mungu wako;ndiye utakaye mtumikia,na kuapa kwa jina lake.* ~ Kuna maswali mengi sana..ambayo yanahitaji ufafanuzi wa kina..juu ya ibada.... Maana lazima tujue..IBADA NI NINI...?? KWA NINI TUNATAKIWA TUFANYE IBADA??..NI WAKATI GANI...YATUPASA KUFANYA IBADA...?..JE! NINI KANAFANYIKA AU KINATAKIWA KUFANYIKA ILI NDO IBADA IKAMILIKE...?... ~ Somo hili si kwa wale..ambao wameokoka tu au kwa watu wa kanisa na dini fulani..ila ni kwa watu wote...maana majibu ya maswali hayo hapo juu..yanawza kutusaidia kuju...