Posts

Showing posts from July, 2018

STAREHE BORA NA RAHA NZURI YA MAISHA NI WOKOVU

Image
   Habarii...za leo mpendwa... Hukumu...ya Mungu yaja..... Lakini...Neema ya Mungu ipo sasa... hivyo... ni a ibu...sana..kama..utafurahia..maisha ya hapa..ulimwenguni...alafu..ukakosa...raha...za milele...mimi...kama mkubwa mwenzako..leo..naleta...neno...kwako..la kukusaidia..upate..raha kwanza..hapa duniani..na pia..siku ukifika..mbinguni....kwa Mungu. Wafilipi 4:8 *Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo.Finally, brethren, whatsoever things are true, whatsoever things are honest, whatsoever things are just, whatsoever things are pure, whatsoever things are lovely, whatsoever things are of good report; if there be any virtue, and if there be any praise, think on these things.* Ndugu...Mungu anakupenda..sana...hivyo..jinsi ulivyo...anatamani..sana..akusaidie..na kukufani...