PASAKA...PASAKA...PASAKA
Bwana...Yesu Kristo...asifiwe...sana wapendwa Kutoka 12:1-2,23 -28 *BWANA akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri,akawaambia,Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu;utakuwa ni mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu.........23 Kwa kuwa BWANA atapita ili awapige hao Wamisri;na hapo atakapoiona hiyo damu katika kizingiti cha juu,na katika ile miimomiwili,BWANA atapita juu ya mlango,wala hata mwacha mwenye kuharibu aingie nyumbani mwenu kuwapiga ninyi.....Nanyi mtalitunza jambo hili kuwa ni amri kwako na kwa wanao milele...Itakuwa hapo mtakapoifikilia hiyo nchi,BWANA atakayowapa,kama alivyoahidi,ndipo mtakapoushika utumishi huu...Kisha itakuwa hapo watoto wenu watakapo wauliza N'nini maana yake utumishi huu kwenu..?Ndipo mtawaambia,ni dhabihu ya pasaka ya BWANA,kwa kuwa alipita juu ya nyumba za wana wa Israeli huko Misri,hapo alipowapiga Wamisri,akaziokoa nyumba zetu.Hao watu wakainama vichwa na kusujudia..Basi wana wa Israeli wakaenda wakafanya mambo hayo;vili vile kama BWANA aliv...